Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Paul Makonda amewatoa hofu Watanzania kuhusu maedeleo ya afya ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz kwa kudai kuwa amefanya naye mawasiliano usiku wa kuamkia leo.
RC Makonda amesema kuwa amefarijika kusikia sauti yake na amedai afya yake imetengamaa na soon wataanza kufanya mazoezi kwa pamoja kama zamani.
“Jana Saa 8 Usiku nilipata muda wa kuongea na rafiki yangu Ommy. Nilifurahi sana sana kupiga Stori na ndg yangu hasa kujua anaendelea vyema na soon tunarudi GYM @ommydimpoz,“ameeleza Paul Makonda kwenye ukurasa wake wa Instagram.


1 comments:
Write commentsKia - Kia - Kia - Kia 토토토토토토토토 해외 토토토토토토 해외 토토토토토토 해외 토토토토토토 해외 토토토토토 10cric login 10cric login 코인카지노 코인카지노 fun88 fun88 우리카지노 쿠폰 우리카지노 쿠폰 온카지노 온카지노 bet365 bet365 카지노 카지노 562 The Best Hot Sauce Sauces | Top Ten Hot Ones - Konicasino
Reply