RC Makonda awatoa hofu Watanzania kuhusu maendeleo ya afya ya Ommy Dimpoz nchini Afrika Kusini

IF YOU ARE 18 YEARS CLICK BELOW TO WATCH AND DOWNLOAD FULL VIDEO

Monday, August 27, 2018

RC Makonda awatoa hofu Watanzania kuhusu maendeleo ya afya ya Ommy Dimpoz nchini Afrika Kusini

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Paul Makonda amewatoa hofu Watanzania kuhusu maedeleo ya afya ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz kwa kudai kuwa amefanya naye mawasiliano usiku wa kuamkia  leo.
RC Makonda amesema kuwa amefarijika kusikia sauti yake na amedai afya yake imetengamaa na soon wataanza kufanya mazoezi kwa pamoja kama zamani.
Jana Saa 8 Usiku nilipata muda wa kuongea na rafiki yangu Ommy. Nilifurahi sana sana kupiga Stori na ndg yangu hasa kujua anaendelea vyema na soon tunarudi GYM @ommydimpoz,“ameeleza Paul Makonda kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Share :
Facebook Twitter Google+

1 comments:

Write comments
Anonymous
ADMIN

Kia - Kia - Kia - Kia 토토토토토토토토 해외 토토토토토토 해외 토토토토토토 해외 토토토토토토 해외 토토토토토 10cric login 10cric login 코인카지노 코인카지노 fun88 fun88 우리카지노 쿠폰 우리카지노 쿠폰 온카지노 온카지노 bet365 bet365 카지노 카지노 562 The Best Hot Sauce Sauces | Top Ten Hot Ones - Konicasino

Reply
avatar

 

Back To Top